Kindolo (lugha)
Kindolo ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wandolo. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kindolo imehesabiwa kuwa watu 8000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kindolo iko katika kundi la C40.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kindolo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kindolo Archived 5 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kindolo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ndl
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kindolo (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |