Kindra'ngith kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wandra'ngith katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kindra'ngith, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kindra'ngith kiko katika kundi la Kipama cha Kaskazini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kindra'ngith kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.