Kingad'a ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wangad'a kwenye kisiwa cha Flores. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kingad'a imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingad'a iko katika kundi la Kibima-Lembata.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingad'a kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.