Kingalakan
Kingalakan ilikuwa lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia iliyozungumzwa na Wangalakan katika jimbo la Northern Territory. Hakuna Wangalakan waliobaki kuzungumza lugha ya Kingalakan, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingalakan kiko katika kundi la Kirembargiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kingalakan kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kingalakan Archived 11 Desemba 2019 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kingalakan katika Glottolog
- lugha ya Kingalakan katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingalakan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |