Kingambay ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Wangambay. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kingambay nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 896,000. Pia kuna wasemaji nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingambay iko katika kundi la Kisara-Bagirmi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingambay kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.