Kinganyaywana ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wanganyaywana katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kinganyaywana ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinganyaywana kiko katika kundi la Kidyangadi.

Eneo la Kinganyaywana (kijani)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinganyaywana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.