Kingawun
Kingawun kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wangawun katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kingawun, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingawun kiko katika kundi la Kimayabiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kingawun kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kingawun Archived 13 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kingawun katika Glottolog
- lugha ya Kingawun katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingawun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |