Kingazidja (pia Shingazidja au Kiswahili ya Komori) ni lugha ya Kibantu nchini Komori inayozungumzwa na Wakomori. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kingazidja kisiwani kwa Mayotte imehesabiwa kuwa watu 300,000. Pia kuna wasemaji 8000 nchini Madagaska na 4000 kisiwani kwa Reunion. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingazidja iko katika kundi la G40, yaani iko karibu na Kiswahili.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingazidja kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.