Kingulu ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wangulu. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kingulu imehesabiwa kuwa watu 132,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingulu iko katika kundi la G30.

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Beidelman, Thomas. 1964. Some Ngulu tales. Tanganyika notes and records, 63, uk.165-196.
  • Ntemo, F. D. 1956. Some notes on Ngulu. Tanganyika notes and records, 45, uk.15-19.
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingulu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.