Kingunawal
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka
Kingunawal kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wangunawal katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kingunawal, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingunawal kiko katika kundi la Kiyuin.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kingunawal kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kingunawal Ilihifadhiwa 4 Aprili 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kingunawal katika Glottolog
- lugha ya Kingunawal katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingunawal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |