Kingurmbur

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kingurmbur (au Kingomburr) kilikuwa lugha ya asili nchini Australia iliyozungumzwa na Wangurmbur katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kingurmbur, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kingurmbur hakilingani na lugha nyingine, ila labda Kiumbugarla.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingurmbur kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.