Kinila ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia iliyozungumzwa na Wanila kwenye kisiwa cha Seram. Hakuna watu wawezao kuzungumza Kinila siku hizi, maana yake lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinila iko katika kundi la Kitimor-Babar.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinila kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.