Kinuaulu-Kaskazini
Kinuaulu-Kaskazini ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanuaulu kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kinuaulu-Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinuaulu-Kaskazini iko katika kundi la Kimaluku.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kinuaulu-Kaskazini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinuaulu-Kaskazini
- lugha ya Kinuaulu-Kaskazini katika Glottolog
- lugha ya Kinuaulu-Kaskazini kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinuaulu-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |