Kinukunul kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wanukunul katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kinukunul, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinukunul kiko katika kundi la Kidurubaliki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinukunul kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.