Kinyamwanga
(Elekezwa kutoka Kinyamwanga (lugha))
Kinyamwanga (pia huitwa Kimwanga au Kinamwanga) ni lugha ya Kibantu nchini Zambia na Tanzania inayozungumzwa na Wanyamwanga. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kinyamwanga nchini Zambia imehesabiwa kuwa watu 140,000. Pia kuna wasemaji 87,000 nchini Tanzania (1987). Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyamwanga iko katika kundi la M20.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kinyamwanga kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinyamwanga
- lugha ya Kinyamwanga katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mwn
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Archived 4 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kinyamwanga)
Marejeo
hariri- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Busse, Joseph. 1940/41. Lautlehre des Inamwanga. Zeitschrift für Eingeborenen-Sprachen, 31 (1), uk.21-50.
- Bickmore, Lee. 2000. Downstep and fusion in Namwanga. Phonology, 17 (3).
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyamwanga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |