Kinyanja
(Elekezwa kutoka Kinyanja (lugha))
Kinyanja (pia Chichewa) ni lugha ya Kibantu inayozungumzwa nchini Malawi kama lugha rasmi na lugha ya taifa. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kinyanja nchini Malawi imehesabiwa kuwa watu milioni saba. Pia kuna wasemaji 803,000 nchini Zambia (2001), 599,000 nchini Msumbiji (2006), na 252,000 nchini Zimbabwe (1969). Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyanja iko katika kundi la N30.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kinyanja kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinyanja
- lugha ya Kinyanja katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nya
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyanja kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |