Kinyawaygi
Kinyawaygi kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wanyawaygi katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kinyawaygi, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyawaygi kiko katika kundi la Kidyirbaliki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kinyawaygi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinyawaygi
- lugha ya Kinyawaygi katika Glottolog
- lugha ya Kinyawaygi katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyawaygi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |