Kio'du ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam na Laos inayozungumzwa na Wao'du. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kio'du nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 300 tu. Pia kuna wasemaji 650 nchini Laos (2005). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kio'du iko katika kundi la Kikhmuiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kio'du kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.