Kiolwa chope
Kiolwa chope (kwa Kiingereza: Inline) ni msemo unaotumika kwa kawaida ili kumaanisha "katika mstari" au "kupangiliwa" —ndani ya mstari— katika utarakilishi.
Kwa mfano, shughuli chope kwenye C na C++ au taswira chope.
Marejeo
hariri- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |