Kiorang-Kanaq ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Waorang-Kanaq. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kiorang-Kanaq imehesabiwa kuwa watu 160 tu; maana yake lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiorang-Kanaq iko katika kundi la Kimalayiki. Wengine huiangalia kama lahaja ya Kimalay tu.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiorang-Kanaq kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.