Kimalay
Kimalay ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia, Brunei, Singapuri na Indonesia inayozungumzwa na Wamalay. Ni lugha ya mawasiliano kwa wengi, hata nchini Ufilipino, Timor Mashariki na Uthai, tofauti na Kimalay Sanifu ambayo ni lugha rasmi nchini Malaysia.
Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimalay kama lugha mama ilihesabiwa kuwa watu milioni 77, lakini wasemaji wote wanaweza kufikia milioni 200-290.
Kufuatana na uainishaji wa lugha wa ndani zaidi, Kimalay iko katika kundi la Kimalayiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimalay kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimalay Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimalay katika Glottolog
- lugha ya Kimalay kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimalay kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |