Kiormuri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Waormuri. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiormuri imehesabiwa kuwa watu 6000. Pia kuna wasemaji wachache nchini Afghanistan. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiormuri kiko katika kundi la Kiirani cha Magharibi.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiormuri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.