Kipahari-Kullu
Kipahari ya Kullu ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wapahari. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kipahari ya Kullu imehesabiwa kuwa watu 109,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipahari ya Kullu iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kipahari ya Kullu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kipahari ya Kullu
- lugha ya Kipahari ya Kullu katika Glottolog
- lugha ya Kipahari ya Kullu kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipahari-Kullu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |