Kipalpa ilikuwa lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Nepal iliyozungumzwa na Wapalpa. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kipalpa tena, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipalpa iko katika kundi la Kiaryan. Wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kinepali.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipalpa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.