Kipana ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wapana. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kipana nchini Jamhuri imehesabiwa kuwa watu 82,000. Pia kuna wasemaji nchini Kamerun, Chad na Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipana iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.