Kipardhan ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wapardhan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kipardhan imehesabiwa kuwa watu 135,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipardhan iko katika kundi la Kigondi-Kui. Wengine husema kwamba Wapardhan hutumia lugha ya Kigondi kama lugha yao ya kwanza.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipardhan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.