Kipardhi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wapardhi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kipardhi imehesabiwa kuwa watu 49,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipardhi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipardhi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.