Kipenan-Mashariki ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wapenan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipenan-Mashariki nchini Malaysia imehesabiwa kuwa watu 10,000. Pia kuna wasemaji 55 tu nchini Brunei (2003). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipenan-Mashariki iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipenan-Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.