Kiperai (pia Kitutunohan) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waperai kwenye kisiwa cha Wetar. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiperai imehesabiwa kuwa watu 280 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiperai iko katika kundi la Kitimor-Babar.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiperai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.