Kipetjo ni krioli nchini Indonesia inayozungumzwa na wakazi wa jiji la Jakarta. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kipetjo imetathminiwa kuwa watu wachache mno, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipetjo imetokea kutoka lugha za Kiholanzi, Kijava na Kibetawi.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipetjo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.