Kiphuan ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Kamboja, Laos na Uthai inayozungumzwa na Waphuan. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiphuan nchini Uthai imehesabiwa kuwa watu 200,000. Pia kuna wasemaji 106,000 nchini Laos (2000) na 1000 nchini Kamboja (2009). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiphuan iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiphuan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.