Kamboja au Kampuchia ni ufalme katika bara la Asia upande wa Kusini-Mashariki, katika rasi ya Indochina.


Preăh Réachéanachâkr Kâmpŭchea
Royaume du Cambodge

Ufalme wa Kamboja
Bendera ya Kamboja Nembo ya Kamboja
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa:
(Khmer: Taifa, Dini, Mfalme)
Wimbo wa taifa: Nokoreach
Lokeshen ya Kamboja
Mji mkuu Phnom Penh
11°33′ N 104°55′ E
Mji mkubwa nchini Phnom Penh
Lugha rasmi KiKhmer1
Serikali Ufalme wa Kidemokrasia
Norodom Sihamoni
Hun Manet
Uhuru
Kutangazwa
Kutambuliwa
Kutoka Ufaransa
1949
1953
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
181,035 km² (88th)
2.5%
Idadi ya watu
 - Julai 2014 kadirio
 - 2008 sensa
 - Msongamano wa watu
 
15,458,332 (65th)
13,388,910
81.8/km² (118th)
Fedha Riel 2 (KHR)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+7)
(UTC+7)
Intaneti TLD .kh
Kodi ya simu +855

-

1 Kifaransa na Kiingereza hueleweka na wasomi tu.
2Lakini pesa za Marekani hutumiwa sana.


Inapakana na nchi za Thailand, Laos na Vietnam.

Wakazi wengi (90%) ni Wakhmer. 5% ni Wavietnam, 1% ni Wachina na 4% makabila mbalimbali.

Kuna lugha 22 ambazo huzungumzwa nchini Kamboja. Lugha rasmi na ya kawaida ni Kikhmer.

Upande wa dini, 96.4% ni Wabuddha, madhehebu ya Theravada. 2.1% ni Waislamu na 1.5% ni Wakristo.

Tazama pia

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Serikali
  • King of Cambodia, Norodom Sihanouk Official website of former King Norodom Sihanouk (Kifaransa)
  • "Cambodia.gov.kh". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-10-05. Iliwekwa mnamo 2015-10-28. Official Royal Government of Cambodia Website (English Version)
  • Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation
  • Ministry of Tourism Archived 2 Februari 2002 at the Wayback Machine.

Jamii

Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.


  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kamboja kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.