Kiphudagi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Waphudagi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiphudagi imehesabiwa kuwa watu 1010. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiphudagi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiphudagi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.