Kipirlatapa
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka
Kipirlatapa kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wapirlatapa katika jimbo la Australia Kusini. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kipirlatapa ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipirlatapa kiko katika kundi la Kikarniki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kipirlatapa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kipirlatapa
- lugha ya Kipirlatapa katika Glottolog
- lugha ya Kipirlatapa katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipirlatapa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |