Kipirriya

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kipirriya kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wapirriya katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kipirriya ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipirriya kiko katika kundi la Kikarniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipirriya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.