Kipitta-Pitta

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kipitta-Pitta kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wapitta-Pitta katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kipitta-Pitta ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipitta-Pitta kiko katika kundi la Kikarniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipitta-Pitta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.