Kipnar ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Wapnar. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kipnar nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 243,000. Pia kuna wasemaji 4000 nchini Bangladesh (2002). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipnar iko katika kundi la Kimon-Khmer.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipnar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.