Kiprai (pia Kiphai) ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Laos na Uthai inayozungumzwa na Waprai. Idadi ya wasemaji wa Kiprai imehesabiwa kuwa watu 21,900 nchini Laos (2005) na watu 20,000 nchini Uthai (2001). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiprai iko katika kundi la Kikhmuiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiprai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.