Kipunthamara
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka
Kipunthamara kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wapunthamara katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kipunthamara ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipunthamara kiko katika kundi la Kikarniki. Wengine hukiangalia kuwa lahaja ya lugha ya Kingura.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kipunthamara kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kipunthamara
- lugha ya Kipunthamara katika Glottolog
- lugha ya Kipunthamara katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipunthamara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |