Kirembarunga

lugha ya asili ya Australia

Kirembarunga ni lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia inayozungumzwa na Warembarunga katika ya jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kirembarunga 36 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kirembarunga kiko katika kundi lake lenyewe la Kirembargiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirembarunga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.