Kiro'o Games
Kiro'o Games, inaitwa pia Kiro'o Studios, (toka neno la Kiswahili "Kiroho") ni kampuni ya michezo ya video nchini Kamerun. Iliundwa mjini Yaunde mwaka 2003.
Walifanya mchezo ya video unaitwa Aurion: Legacy of the Kori-Odan.
Marejeo
hariri- Kpoumie Hamed (30 May 2013). "Olivier Madiba : Nous voulons faire entrer l'Afrique dans l'univers du jeu vidéo". Journal du Cameroun.
- "Kiro'o Tales, Fantasy Games from Africa". TheNewAfrica. 8 November 2013. Archived from the original on 3 September 2014."Aurion, une odyssée".
- "Kiro'o Tales, Fantasy Games from Africa". DemoAfrica. 7 September 2014. "kiroo-games-nous-devoile-son-community-management". "video-decouverte-d-un-action-rpg-atypique-461765.html".
Viungo vya nje
hariri- http://www.kiroogames.com/en/kiro-o-tales.html Ilihifadhiwa 14 Juni 2019 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiro'o Games kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |