Kirufiji (au Kiruihi) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Warufiji. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kirufiji imehesabiwa kuwa watu 200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kirufiji iko katika kundi la P10.

Viungo vya nje

hariri

Marejeo

hariri
  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Zhukov, Andrei. 1969. Zametki o kirufidzi [Maoni kuhusu Kirufiji]. Afrikanskii etnograficheskii sbornik, 7, uk.214-220.
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirufiji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.