Kirungwa ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Warungwa. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kirungwa imehesabiwa kuwa watu 18,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kirungwa iko katika kundi la M10.

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirungwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.