Kikwaya
(Elekezwa kutoka Kiruri)
Kikwaya (pamoja na lahaja ya Kiruri) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakwaya na Waruri katika mashariki ya upwa wa ziwa Nyanza (Victoria). Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kikwaya imehesabiwa kuwa watu 115,000, yaani Wakwaya 70,000 na Waruri 45,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikwaya iko katika kundi la E20.
Lugha au lahaja?
haririKatika tasnifu yake ya MA (1977) Massamba analinganisha eCi-Ruuri, eCi-Jita na eKi-Kwaaya na anaonesha wazi kwamba kiisimu lugha hizo zinaweza kuhesabika kama lahaja za lugha moja, ingawa kijamii kila lugha inajihesabu kama lugha kwa upeke wake.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikwaya kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikwaya
- lugha ya Kikwaya katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kya
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Ilihifadhiwa 4 Oktoba 2006 kwenye Wayback Machine.
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kikwaya na wa Kiruri)
Marejeo
hariri- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Massamba, David P[hineas] B[hukanda]. 1977. A comparative study of the Ruri, Jita and Kwaya “languages” of the eastern shores of Lake Nyanza (Victoria). Tasnifu. University of Dar es Salaam. Kurasa iii, 138.
- Massamba, David. 1982. Aspects of accent and tone in Ci-Ruri. PhD thesis. Indiana University at Bloomington. Kurasa 260.
- Massamba, David. 1984. Tone in Ci-Ruri. Katika: Autosegmental studies in Bantu tone (Publications in African languages and linguistics, vol 3), uk.235-254. Kuhaririwa na George N. Clements & John A. Goldsmith. Berlin & Dordrecht: Mouton de Gruyter; Foris Publications.
- Massamba, David. 2000. Ci-Ruri verbal inflection. Katika: Lugha za Tanzania / Languages of Tanzania: studies dedicated to the memory of Prof. Clement Maganga (CNWS publications, no 89), uk.111-126. Kuhaririwa na Kulikoyela K. Kahigi, Yared M. Kihore & Maarten Mous. Leiden: Research School of Asian, African and Amerindian Studies (CNWS), Leiden University.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikwaya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |