Kisa'ban ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia na Indonesia inayozungumzwa na Wasa'ban kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisa'ban nchini Malaysia imehesabiwa kuwa watu 1110 na nchini Indonesia watu 850. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisa'ban iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisa'ban kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.