Kisa'och ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Kamboja inayozungumzwa na Wasa'och. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kisa'och imehesabiwa kuwa watu kumi tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisa'och iko katika kundi la Kipeariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisa'och kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.