Kisafwa

Kisafwa ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wasafwa. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kisafwa imehesabiwa kuwa watu 158,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisafwa iko katika kundi la M20.

Mfumo wa Sauti (Fonolojia)Edit

Lugha ya Kisafwa ina irabu 7 na konsonanti 36. Pia, tofauti kati ya irabu fupi na irabu ndefu huleta tofauti za maana.

Viungo vya njeEdit

MarejeoEdit

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Sambeek, Jan van. 1933. Safwa grammar. Muswada. Kurasa 183.
  • Voorhoeve, Jan. 1973. Safwa as a restricted tone system. Studies in African linguistics, 4 (1), uk.1-22.
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisafwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.