Kisambalpuri (pia Kioriya ya Magharibi au Kikosali) ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Waoriya. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kisambalpuri imehesabiwa kuwa watu 519,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisambalpuri iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisambalpuri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.