Kisamo (pia: Kisane, Kisan, Kisa) ni lugha za Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso na Mali. Lugha hii ni lahaja ndogo inayozungumzwa na Wamandé.

Takwimu za watu

hariri

Idadi ya watu na maeneo ya lahaja za Kisamo:

Lahaja Mkoa Idadi ya Watu (1985) Idadi ya Watu (2001[1])
Maka Upande wa kusini, eneo lililozunguka Toma 61,883 84,996
Matya Kaskazinimagharibi, hadi magharibi kaskazini mwa Tougan (ukiondoa eneo la Toéni) 33,675 46,252
Matya Kaskazinimgaharibi ya mbali (mkoa wa Toéni 9,942 13,655
Maya Kaskazinimashariki, eneo lililozunguka Kiembara naBangassogo 38,393 52,732
Zote Jumla 143,893 197,635

Marejeo

hariri
  1. Estimate, with 2.68% annual increase


  Makala hii ni sehemu ya warsha ya kuhariri Wikipedia huko MUM. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza habari.