Kisamoma (au Kikalamse) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso na Mali inayozungumzwa na Wasamoma. Mwaka wa 1985 idadi ya wasemaji wa Kisamoma nchini Burkina imehesabiwa kuwa watu 9570. Idadi ya wasemaji nchini Mali haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisamoma iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisamoma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.